Solutions za Kidigitali kwa
Biashara Yako

Tunatengeneza mifumo (Systems), Website na Apps za kisasa. Pia tunauza Source Codes na Templates zilizotayari kutumika.

Soko la Miradi (Marketplace)

Nunua Source codes, Scripts na Website tayari kwa matumizi.

DISPENSARY MANAGEMENT SYSTEM

TZS 750,000

DISPENSARY

Plugin / Script Nunua

Huduma za Kuomba

Tuma maombi ya huduma hizi na upate ankara (Invoice).

COMPANY WEBSITE OFFA

Unapata website, pamoja na domain na hosting bure kwa mwaka wa kwanza. Baada ya mwaka, unalipia Tsh 150,000 kila mwaka.

TZS 225,000 Anza Sasa

Wateja na Partners Wetu

Tayari unayo namba ya ombi?

Fuatilia hatua za maombi yako kwa urahisi kwa kutumia tracking code uliyotumiwa.