Tunasanifu na kutengeneza mifumo ya kidigitali yenye viwango vya kimataifa ili kukuza ufanisi na faida ya biashara yako.
Tunatoa huduma zenye viwango vya juu kwa ajili ya mahitaji yako ya kidijitali.
Tunakusajilia bulk sms kutoka kwa reliable service providers, na kisha kukabidhiwa credentials zako za huduma yako. Sender ID, Itachukua hadi two weeks kuwa tayari. PACKAGES: 1} PACKAGE A 16 TSH /sms 1 or more SMS API Access 24/7 Support 99.9%Service Uptime 2} PACKAGE B 15 TSH /sms 6,000 or more SMS API Access 24/7 Support 99.9%Service Uptime 3}PACKAGE C 14 TSH /sms 55,000 or more SMS API Access 24/7 Support 99.9%Service Uptime
-20 Gb - Free Ssl -10 Profeesional Mail Boxes Gharama hizi hulipwa kwa mwaka. Tunakusaidia ku sajili.
Hapa utajifunza HTML, CSS , JS kidogo na Php . Hii itakusaidia kuweza ku develop website yoyote au system yoyote kama : School Management system, websites za company. NB: Masomo ni Online tu.
Ingiza namba yako ya ombi (DD-XXXXXXXX) kuona hatua iliyofikiwa.